Mpango ya kufungula tena Danemark iko tayari

Mpango ya kufungula tena Danemark iko tayari

Tarehe 7 mwezi wa tano 2020, Serkali ilionesha mpango unaofuata ya kufungula tena  makazi na zingine institutions mu masiku zijazo. Kufungula upya inatiwa chini ya shurti kusema kama ma shughuli zinaweza fanyika kwa njia nzuri ya kiafya na kuweka maambukizi chini ya contrôle. Maongozi  kuhusu kukuwa mbali na mwengine mutu  na wa usafi lazima biendelee kufwatiwa.

Tupigie simu direct kwa namba yetu kama hauna uhakika juu ya kufungula tena Danemark ina maanisha nini kwako na jamaa yako.

 • Kufunguliwa ya buchuruzi ya détail – maduka na centres makubwa  za buchuruzi (11. 05. 2020)
 •  Watoto wa somo la 6 mpaka la 10 wanaweza kwenda ku masomo tena (kuanzia tarehe 18.05.2020). Masomo na mitaa watakubaliana mu niveau ya eneo labo ginsi ya kufungula tena itaweza fanyika  ndani ya maongozi ya afya.
 • Kufundisha na ma examens na shurti ya kufika ku examen mutu mwenyewe (Tarehe 18.05.20). Kufunguliwa kwa STU, EUD na R&D (Tarehe 18.05. 2020)
 • Ma restaurants na maduka kama haya zinaweza kutumika (kuanzia tarehe 18. 05. 2020)
 • Makanisa ya Folkekirke na makanisa na dini zingine zinafungula (kuanzia tarehe 18. 05. 2020)
 • Kufanya kazi nyumbani kwa ma kampuni za kibinafsi (sociétés privées)
 • Michezo za kitaalam zifanyike lakini bila watazamaji
 • Kukopesha na kurudisha vitabu  kwenye bibliothèque (kuanzia Tarehe 18. 05. 2020)
 • Michezo na mikutano ya ma associations binafungula
 • Kumaliza kwa uendelezaji ku masomo ya sekondari (Tarehe 18. 05. 2020)
 • Nafasi ya maonesho ya wanyama ambazo wageni banajitembezaka benyewe mu magari zinaweza  fungula

Serkali iko nafanya mazungumzo na ma inchi jirani na itaamua juu ya contrôle wa muda  ya mipaka pia na makatazo ya kuingia na maongozi zilizoongezeka kuhusu safiri. Serkali itatangaza hii ifikapo tarehe 1. 06. 2020.