Shule: Daraja ya 0 hadi daraja ya 5 na vituo vya kulelea watoto hufunguliwa pole pole baada ya Pasaka

Shule: Daraja ya 0 hadi daraja ya 5 na vituo vya kulelea watoto hufunguliwa pole pole baada ya Pasaka

Ikiwa hauna uhakika wa lini shule yako au shule ya chekechea yako itafungua, wasiliana na mkuu wa shule au mkuu wa kituo ya kulelea.

Uliza maswali yote unayo.