Njia ya simu moja kwa moja kuhusu Corona na njia ya mazungumzo zimefungwa

Njia ya simu moja kwa moja kuhusu Corona na njia ya mazungumzo zimefungwa

Njia ya simu moja kwa moja ya Corona na njia ya mazungumzo zimefungwa kwa sasa iyo chumba ya mazungumzo haifanyi kazi tena. Tunatumaini kwamba tutapata suluhisho ambalo litawezesha juhudi kuanza tena. Tafadhali weka macho kwenye wavuti kwa mabadiliko yoyote.

Hadi fursa wa kuunda tena njia ya simu moja kwa moja imefafanuliwe, tuna waalika kuchunguwa hapa: www.coronasmitte.dk  kwa habari juu ya coronavirus/Covid-19 kwa lugha ya kidenishi na kwenye www.mino.dk  kwa habari katika lugha zingine.

Jitunze na tutunze wenzetu.