Je! Una maswali kuhusu coronavirus / Covid-19?

Simu ya hotline ya lugha ya kiswahili na kiswahili ya Congo imefungwa kwa sababu hapakuwa na watu waliotumia hio huduma.  Tunakuhimiza kutumia chati ambayo unauwezo wa kutuma ujumbe wakati wowote na utapata jibu la swali lako siku ya jumatatu/siku ya kwanza, jumatano/siku ya tatu an ijumaa/siku ya tano kati ya saa tisa mchana hadi saa kumi mchana (Saa 15.00-16.00) . Asante

Habari za hivi karibuni kuhusu coronavirus /Covid- 19
national-cancer-institute-2fyeLhUeYpg-unsplash
Sasa mtu yeyote ule mwenyi kuwa na umri zaidi ya miaka 18 anaweza kupimwa Virusi vya Corona.

Sasa mtu yeyote ule mwenyi kuwa na umri zaidi ya miaka 18 anaweza kupimwa Virusi vya Corona. fanya miadi kwenye  www.coronaprover.dk. Ikiwa una dalili za Virusi za Corona bado unapaswa kupimwa kupitia daktari wako mwenyewe.    

Billede 22-05-2020 kl. 12.11
Kanisa la wananchi (Folkekirken) na makanisa na dini zingine, sinagogi, msikiti na kadhalika zafunguliwa kwa umma kuanzia tarehe 18 Mei 2020.

Hapa ni miongozo kuu ya kufungua upya ya kanisa la wananchi na madini mengine (…)

Lyngby Hovedgade
Mpango wa kufungua tena Denmark iko mahali

Serikali imewasilisha mpango wa awamu ya 2 ya kufungua tena Denmark. Awamu ya 2 inajumuisha kufungua tena idadi ya maeneo ya kazi ya kibinafsi na ya umma.

Skoleskilt
Shule: Daraja ya 0 hadi daraja ya 5 na vituo vya kulelea watoto hufunguliwa pole pole baada ya Pasaka

Ikiwa hauna uhakika wa lini shule yako au shule ya chekechea yako itafungua, wasiliana na mkuu wa shule au mkuu wa kituo ya kulelea. Uliza maswali yote unayo.

corona
Tovuti mpya inaleta habari kuhusu Coronavirus katika lugha 25

Kupitia tovuti hii na simu hotline unaweza kupata majibu ya maswali yako kuhusu coronavirus katika lugha yako mwenyewe.